Ufafanuzi wa talo katika Kiswahili

talo

nominoPlural talo

  • 1

    mchezo wa timu mbili ambao hutumia kipande cha mti kinachopigwa au kutupwa na mchezaji wa timu moja na wachezaji wa timu nyingine ambayo inalinda, hujitahidi kudaka ili kuzuia timu iliyopiga isipate madungu mengi.

  • 2

    (inchi 6) kipande cha mti chenye urefu usiozidi sentimita 15; cha kuchezea mchezo huo.

Matamshi

talo

/talɔ/