Ufafanuzi msingi wa tamakani katika Kiswahili

: tamakani1tamakani2

tamakani1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kaa mahali pa utulivu bila ya shida yoyote.

Matamshi

tamakani

/tamakani/

Ufafanuzi msingi wa tamakani katika Kiswahili

: tamakani1tamakani2

tamakani2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    hamia mahali na kukaa muda mrefu.

Matamshi

tamakani

/tamakani/