Ufafanuzi wa tamanisha katika Kiswahili

tamanisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tia watu hamu ya kutaka kupata kitu fulani.

Matamshi

tamanisha

/tamaniāˆ«a/