Ufafanuzi wa tambarajika katika Kiswahili

tambarajika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa dhaifu au legevu kwa sababu ya uchovu, uchakavu, njaa au uzee.

  • 2

    sambarika

Matamshi

tambarajika

/tambaraŹ„ika/