Ufafanuzi wa tambarare katika Kiswahili

tambarare

nominoPlural tambarare

  • 1

    nchi isiyokuwa na mwinuko au mabonde; iliyo sawa.

    ‘Nchi tambarare’
    uwanda

Matamshi

tambarare

/tambararɛ/