Ufafanuzi wa tambavu katika Kiswahili

tambavu

nominoPlural tambavu

  • 1

    ugwe au ukanda unaovaliwa kwa kukingama kutoka bega moja hadi mbavu za upande wa pili.

Matamshi

tambavu

/tambavu/