Ufafanuzi wa tambazi katika Kiswahili

tambazi

nominoPlural tambazi

  • 1

    ugonjwa wa uvimbe wa ndani kwa ndani katika mwili.

Matamshi

tambazi

/tambazi/