Ufafanuzi wa tambi katika Kiswahili

tambi

nomino

  • 1

    chakula chenye umbo la nyuzi kinachotengenezwa kwa kusonga unga ukawa ugali kisha kuusokota kwa kutumia kinu maalumu.

Matamshi

tambi

/tambi/