Ufafanuzi wa tambua katika Kiswahili

tambua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    jiwa tena na picha au taswira ya kitu kilichopita kwa kukiona au kukijua baada ya kukiona tena.

    fahamu, amili, maizi

Matamshi

tambua

/tambuwa/