Ufafanuzi wa tambuka katika Kiswahili

tambuka

kitenzi elekezi

  • 1

    pita juu ya kitu bila ya kukigusa.

    kiuka, ruka

Matamshi

tambuka

/tambuka/