Ufafanuzi wa tambuu katika Kiswahili

tambuu

nominoPlural tambuu

  • 1

    jani pana ambalo hutafunwa pamoja na popoo na chokaa kwa ajili ya uraibu; jani la mtambuu.

Asili

Khi

Matamshi

tambuu

/tambu:/