Ufafanuzi wa tambuzi katika Kiswahili

tambuzi

kivumishi

  • 1

    -enye wepesi wa kufahamu mambo.

    ‘Ana akili tambuzi’

Matamshi

tambuzi

/tambuzi/