Ufafanuzi wa tamrini katika Kiswahili

tamrini

nominoPlural tamrini

  • 1

    mazoezi ya kufundisha somo fulani.

    ‘Tamrini za sarufi’
    darasa, mjarabu

  • 2

    tabia au mwenendo maalumu wa kutenda mambo unaofuatwa na watu fulani.

Asili

Kar

Matamshi

tamrini

/tamrini/