Ufafanuzi wa tanadhari katika Kiswahili

tanadhari

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na akili nzuri; kuwa na busara; kuwa mwangalifu.

Matamshi

tanadhari

/tanaðari/