Ufafanuzi wa tanasari katika Kiswahili

tanasari

kitenzi sielekezi

Kidini
  • 1

    Kidini
    toka katika Uislamu na kuingia katika Ukristo.

Asili

Kar

Matamshi

tanasari

/tanasari/