Ufafanuzi wa tanbihi katika Kiswahili

tanbihi

nominoPlural tanbihi

  • 1

    maelezo yanayofafanua hoja yanayowekwa mwishoni mwa ukurasa au sura ya kitabu.

    tanabahisho

Asili

Kar

Matamshi

tanbihi

/tanbihi/