Ufafanuzi wa tanda katika Kiswahili

tanda

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~iza, ~wa

 • 1

  pitisha kamba kwenye mifumbati ya kitanda na kuzieneza ili kutengeneza mahali pa kulalia.

  wamba

 • 2

  kuwa juu ya kitu au mahali kwa kufunika au kuziba.

  ‘Mawingu yametanda’
  ‘Jitande mtandio’

 • 3

  vua dagaa kwa kutumia upindo.

Matamshi

tanda

/tanda/