Ufafanuzi wa tandama katika Kiswahili

tandama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika hali ya kujieneza mahali k.v. mamba anavyojitandaza ardhini wakati wa kuota jua.

Matamshi

tandama

/tandama/