Ufafanuzi wa tandawaa katika Kiswahili

tandawaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~za

  • 1

    enea mahali na kuzuia nafasi k.v. kunyosha miguu ili watu wengine wasiweze kupita.

Matamshi

tandawaa

/tandawa:/