Ufafanuzi wa tandaza katika Kiswahili

tandaza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    kunjua kitu kilichokuwa kimekunjwa.

    anjaza, ikiza, nyoosha

  • 2

    onyesha kwa uwazi bila kuficha.

    funua

Matamshi

tandaza

/tandaza/