Ufafanuzi msingi wa tandika katika Kiswahili

: tandika1tandika2

tandika1

kitenzi elekezi

  • 1

    tandaza kitu k.v. nguo, mkeka, jamvi, n.k. juu ya kitu kingine.

    ‘Tandika kitanda’

Matamshi

tandika

/tandika/

Ufafanuzi msingi wa tandika katika Kiswahili

: tandika1tandika2

tandika2

kitenzi elekezi

Matamshi

tandika

/tandika/