Ufafanuzi wa tandu katika Kiswahili

tandu

nomino

  • 1

    mdudu mwenye miguu mingi kadiri ya mia moja, huuma na ana sumu.

Matamshi

tandu

/tandu/