Ufafanuzi wa tandua katika Kiswahili

tandua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa kitu kilichotandwa au kutandikwa.

Matamshi

tandua

/tanduwa/