Ufafanuzi msingi wa tanga katika Kiswahili

: tanga1tanga2

tanga1

nominoPlural matanga

  • 1

    mkusanyiko wa watu kwenye nyumba iliyofikwa na msiba ili kuomboleza na kuwaliwaza wafiwa kwa siku tatu au zaidi baada ya kuzika.

Ufafanuzi msingi wa tanga katika Kiswahili

: tanga1tanga2

tanga2 , tangatanga

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda huku na huku.

    tembeatembea, zurura, susurika, shaja, hanja

Matamshi

tanga

/tanga/