Ufafanuzi wa tangamano katika Kiswahili

tangamano

nominoPlural matangamano

  • 1

    hali ya kuchanganyika au kuwa kitu kimoja.

    changamano

  • 2

    hali ya kuchanganyika kwa watu katika jamii.

    ushirikiano, uelewano

Matamshi

tangamano

/tangamanɔ/