Ufafanuzi wa tangaza katika Kiswahili

tangaza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    toa habari kwa watu kuhusu jambo fulani.

    alika, pashana, lingana

Matamshi

tangaza

/tangaza/