Ufafanuzi wa tangu katika Kiswahili

tangu

kiunganishi

  • 1

    neno linaloonyesha mwanzo wa kutendeka au kutendwa kwa jambo.

    ‘Tangu nije yapata saa nne nzima’
    ‘Tangu lini?’
    toka

Matamshi

tangu

/tangu/