Ufafanuzi msingi wa tani katika Kiswahili

: tani1tani2

tani1

nominoPlural tani

 • 1

  kipimo cha uzito wa ratili 2,224.

 • 2

  nguvu nyingi za mwili.

  ‘Huwezi kupigana naye huyo, si tani yako’
  satua

 • 3

  ‘Kula tani yako’
  kiasi, uwezo

Asili

Kng

Matamshi

tani

/tani/

Ufafanuzi msingi wa tani katika Kiswahili

: tani1tani2

tani2

kielezi

Matamshi

tani

/tani/