Ufafanuzi wa tania katika Kiswahili

tania

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    fanyia mchezo mtu pasi na kuwa na madhumuni ya kumuudhi; fanyia mzaha.

    dhihaki, fyua, fyosa, sagua, cheza

Asili

Kar

Matamshi

tania

/tanija/