Ufafanuzi wa tano katika Kiswahili

tano

nominoPlural tano

  • 1

    tarakimu ‘5’ au idadi ya hesabu iliyo baina ya nne na sita.

    hamsa

Matamshi

tano

/tanɔ/