Ufafanuzi wa tanu katika Kiswahili

tanu

nominoPlural tanu

  • 1

    chungu cha kuni au vigogo vya miti vinavyochomwa ili mkaa upatikane.

  • 2

    chungu cha kuni, vifuu, n.k. pamoja na mawe kinachochomwa ili kupata chokaa.

Matamshi

tanu

/tanu/