Ufafanuzi wa tanuri katika Kiswahili

tanuri

nominoPlural matanuri

  • 1

    jiko lililojengwa ambalo linatumika kuchomea vitu k.v. chokaa, vyombo vya udongo au mikate.

    joko

Asili

Kar

Matamshi

tanuri

/tanuri/