Ufafanuzi wa tanza katika Kiswahili

tanza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    shinda kufahamika; kuwa tata.

    ‘Shairi hili limenitanza, sipati ufafanuzi wake’
    tatanisha, tinga, tasa, tatiza

Matamshi

tanza

/tanza/