Ufafanuzi wa tanzia katika Kiswahili

tanzia, taazia

nominoPlural tanzia

  • 1

    habari ya kifo inayopelekwa kutoka mbali.

  • 2

    tukio la hatari ambalo huleta masikitiko au msiba.

Asili

Kar

Matamshi

tanzia

/tanzija/