Ufafanuzi wa tapakaa katika Kiswahili

tapakaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~za

  • 1

    enea mahali pengi.

    ‘Habari zimetapakaa’
    sambaa, zagaa, tangaa, moma, pamba, vavagaa

Matamshi

tapakaa

/tapaka:/