Ufafanuzi wa tapatapa katika Kiswahili

tapatapa

kitenzi sielekezi

  • 1

    babaika au enda huku na huku baada ya kufikwa na tatizo fulani au kuwa na haja.

    hangaika, payapaya, taataa, wayawaya