Ufafanuzi msingi wa tapeli katika Kiswahili

: tapeli1tapeli2

tapeli1

nominoPlural matapeli

  • 1

    mtu anayelaghai watu ili awadhulumu mali au haki zao.

    chambega

Matamshi

tapeli

/tapɛli/

Ufafanuzi msingi wa tapeli katika Kiswahili

: tapeli1tapeli2

tapeli2

kitenzi elekezi

  • 1

    laghai mtu ili kumdhulumu.

Matamshi

tapeli

/tapɛli/