Ufafanuzi wa tapika katika Kiswahili

tapika

intransitive verb

  • 1

    toa tumboni kitu kilichokwisha kumezwa kwa kupitia mdomoni.

Matamshi

tapika

/tapika/