Ufafanuzi msingi wa tapisho katika Kiswahili

: tapisho1tapisho2

tapisho1

nominoPlural matapisho

  • 1

    ada maalumu inayotolewa unyagoni.

Matamshi

tapisho

/tapi∫ɔ/

Ufafanuzi msingi wa tapisho katika Kiswahili

: tapisho1tapisho2

tapisho2

nominoPlural matapisho

  • 1

    dawa inayotumiwa ili kumfanya mtu atapike.

Matamshi

tapisho

/tapi∫ɔ/