Ufafanuzi msingi wa tapo katika Kiswahili

: tapo1tapo2tapo3

tapo1

nominoPlural matapo, Plural tapo

 • 1

  kundi au fungu la watu.

  pote

Asili

Ktu

Matamshi

tapo

/tapɔ/

Ufafanuzi msingi wa tapo katika Kiswahili

: tapo1tapo2tapo3

tapo2

nominoPlural matapo, Plural tapo

 • 1

  matunda yanayofanana na popoo lakini makubwa, agh. hufanywa unga na kupikwa uji.

  ‘Uji wa tapo’

Matamshi

tapo

/tapɔ/

Ufafanuzi msingi wa tapo katika Kiswahili

: tapo1tapo2tapo3

tapo3

nominoPlural matapo, Plural tapo

 • 1

  wavu wa miyaa unaoungwa katikati ya nyuzi mbili za juya au ugwe.

Matamshi

tapo

/tapɔ/