Ufafanuzi wa taradhia katika Kiswahili

taradhia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    omba kitu au jambo kutoka kwa mtu mwenye madaraka au uwezo wa kukutimizia haja yako.

    ‘Nimekuja kutaradhia ili nipunguziwe malipo ya kodi’

Asili

Kar

Matamshi

taradhia

/taraðija/