Ufafanuzi wa tarafa katika Kiswahili

tarafa

nominoPlural tarafa

  • 1

    sehemu ya eneo la kiutawala iliyo ndogo kuliko wilaya na kubwa kuliko kata.

    ‘Katibu tarafa’
    divisheni

Asili

Kar

Matamshi

tarafa

/tarafa/