Ufafanuzi wa tarakimu katika Kiswahili

tarakimu

nominoPlural tarakimu

  • 1

    alama ya hesabu iliyoandikwa kuonyesha idadi.

    ‘Tarakimu za Kiarabu 1, 2, 3, 4, 5, n.k.’
    ‘Tarakimu za Kirumi I, II, III, IV, V, n.k.’
    rakamu, namba

Asili

Kar

Matamshi

tarakimu

/tarakimu/