Ufafanuzi msingi wa taratibu katika Kiswahili

: taratibu1taratibu2

taratibu1

nominoPlural taratibu

  • 1

    kanuni, njia au mpango unaotumika katika kufanyia jambo fulani.

    kaida, kanuni, nguzo

Asili

Kar

Matamshi

taratibu

/taratibu/

Ufafanuzi msingi wa taratibu katika Kiswahili

: taratibu1taratibu2

taratibu2

kielezi

  • 1

    pasi na haraka.

    polepole, asteaste, henezi

Asili

Kar

Matamshi

taratibu

/taratibu/