Ufafanuzi wa tarawehi katika Kiswahili

tarawehi

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    sala ndefu ya suna inayosaliwa katika mwezi wa Ramadhani usiku baada ya sala ya Isha.

Asili

Kar

Matamshi

tarawehi

/taraw…õhi/