Ufafanuzi wa tarazaki katika Kiswahili

tarazaki

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shughulika ili kupata riziki k.v. kwa kufanya biashara, kazi, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

tarazaki

/tarazaki/