Ufafanuzi wa tarazo katika Kiswahili

tarazo

nominoPlural tarazo

  • 1

    vijiwe vidogo vinavyoshindiliwa katika sakafu ambavyo vikisuguliwa hung’ara.

Asili

Kng

Matamshi

tarazo

/tarazɔ/