Ufafanuzi wa tarbushi katika Kiswahili

tarbushi, tarabushi

nomino

  • 1

    kofia ya rangi, hasa nyekundu, yenye shada la nyuzi ndefu nyeusi.

  • 2

    kitunga.

Asili

Kar

Matamshi

tarbushi

/tarbuāˆ«i/