Ufafanuzi msingi wa tari katika Kiswahili

: tari1tari2

tari1

nominoPlural matari

 • 1

  ngoma ndogo na nyembamba iliyowambwa upande mmoja na kutiwa vibati kwenye kingo zake.

  dufu

Asili

Kaj

Matamshi

tari

/tari/

Ufafanuzi msingi wa tari katika Kiswahili

: tari1tari2

tari2

nominoPlural matari

 • 1

  ngoma ya pepo inayopigwa kwa kutumia matari.

 • 2

  ngoma ya Uswahilini inayochezwa na wanaume kwa bakora na panga.

  hanzua, shela

Asili

Kaj

Matamshi

tari

/tari/