Ufafanuzi wa tarishi katika Kiswahili

tarishi

nomino

  • 1

    mhudumu wa ofisi anayetumwa kupeleka barua au habari.

    mjumbe, katikiro, mesenja

Asili

Kar

Matamshi

tarishi

/tariāˆ«i/